Maisha ya Mtakatifu Yohane Wa Msalaba yamejaa ujumbe halisi kwa maisha yetu ya sasa kiimani, je tunayajua maisha yake, changamoto, mateso, dharau na ujasiri wake? Hii ni tafakari kutoka kwa Padre Faustin Rwechungura wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora.
No comments:
Post a Comment