Monday, 11 December 2017

Tafakari Ya Jumapili Ya Pili Ya Majilio Na Padre F Rwechungura




Hili Ni Juma La Pili La Kipindi Cha Majilio!!!
Karibu Tutafakari Pamoja.




Ungana na Padre Faustin Rwechungura Katika Tafakari Ya Dominika Ya Pili Ya Majilio.

Somo La Kwanza Linatoka Katika Kitabu Cha Isaya Sura ya 40: 1- 5, 9 - 11
Somo La Pili Linatoka Katika Waraka Wa Mtume Petro Sura Ya 3: 8 - 14
Na Somo La Injili Ni Kutoka Katika Kitabu Cha Marko Sura Ya 1:1 - 8.

Tutafakari pamoja na Ninakuomba Na Kukusihi Uitume Video Hii Kwenye Mitandao Yako yote Ya kijamii Ili Sote tupate fursa Ya kujifunza.

Tafadhali Pia Naomba u-subscribe ili Mafundisho Haya Yatunufaishe Wengi.

No comments:

Post a Comment